Elections 2010 CONFIRMED: NCCR kidedea Jimbo la Muhambwe

siyenda

Member
Oct 1, 2010
62
4
nccr mageuzi hatimaye watanganzwa washindi na nec wilayani kibondo saa 10 alfajiri hili ni jimbo la muhambwe.
 
Why saa 10 alfajiri, waache longolongo....Unajua hawa nec ndo wanataka balaa. Why kutangaza alfaji, au mchana na asubihi vimekwisha?
 
Muhambwe c ndo kwa Ntagazwa huko, ama? Kwa hakika wana wa Kigoma wamenikosha sana kwa spirit yao. Viva Mapinduzi. Aluta Continua
 
Muhambwe c ndo kwa Ntagazwa huko, ama? Kwa hakika wana wa Kigoma wamenikosha sana kwa spirit yao. Viva Mapinduzi. Aluta Continua

Kwa NTAGAZWA yes. Ntagazwa alihamia CHADEMA baada ya CCM kumtosa. CCM walisimika jamaa anayedaiwa ni jambazi. So, CHADEMA na CCM while wanagawan kura, kijana wa NCCR akaibuka kidedea
 
If that is confiremed results, then I feel so cool inside. Message is being sent to CCM and the ruin of the Monarch is coming to an end!!!!
 
ni jimbo lililokuwa ngome ya CCM......WAO WAKACHAGUA MTUHUMIWA MKUU WA UJAMBAZI....MDINI......Watu wakamwaga........NI KOSA AMBALO CCM IMEFANYA SEHEMU NYINGI....UTEKAJI WA MAGARI...VIUNGO VYA ALBINO ANAJULIKANA WAZIWAZI....NI NDUGU NA MCHAMBUZI MAARUFU WA SOKA DR.LIKI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom