Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Yuko live star muda huu akihojiwa na waandishi wa habari.
Amesema kikao cha NEC kinaenda kuanza sasa na kitaendelea mpaka saa 7 mchana na baade Mkutano Mkuu utafuata ambao amesema hawezi kujua utaisha saa ngapi.
Leo amegeuka anasema kukata rufaa ruksa kwa wasioridhika.
Mwandishi mmoja kamuuliza kama kuna muda wa kutosha kukataa rufaa amesema yeye sio ndio anaeweza kusema kama muda unatosha au hapana bali wataangalia wenyewe wanaotaka kukata rufaa.
Mnakumbuka siku ile alisema hakuna muda wa kukataa rufaa?!
Kazi ipo!