CONFIRMED: Nape athibitisha majina matano yaliyotoka

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,326
Yuko live star muda huu akihojiwa na waandishi wa habari.

Amesema kikao cha NEC kinaenda kuanza sasa na kitaendelea mpaka saa 7 mchana na baade Mkutano Mkuu utafuata ambao amesema hawezi kujua utaisha saa ngapi.

Leo amegeuka anasema kukata rufaa ruksa kwa wasioridhika.

Mwandishi mmoja kamuuliza kama kuna muda wa kutosha kukataa rufaa amesema yeye sio ndio anaeweza kusema kama muda unatosha au hapana bali wataangalia wenyewe wanaotaka kukata rufaa.

Mnakumbuka siku ile alisema hakuna muda wa kukataa rufaa?!

Kazi ipo!
 
Nape kesha Tangaza kweli.....................Loooh........yaani unbelievable.....Kweli urafiki wa Jk na Lowassa ulikuwa wa Kinafiki.
 
Tehetehe tihi fisadi awe rais wa nchi hapa big up sana CCM ila waliopita hawauziki
 
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanya vikao vyake pale Dodoma.

Hasa wakati huu wa kukata majina kutoka 38 hadi kufikia 5 kisha 3 alafu 1
Kutokana na vikao kwa mujibu wa katiba ambapo pia inaongelea hivyo.

Kuna Kamati ya Maadili na Usalama, ili kujua mienendo, maadili na uadilifu wa yao wote waliotia nia.idadi yao ni watu 14.

Kuna kamati kuu CC, ambayo inapitia hayo majina yote kisha kuanza kutafuta yale matano kati ya hao 38. Idadi yao itakuwa watu 32.

Kuna Halimashauri kuu, (NEC), hapa wanatafuta majina matatu kati ya matano waliyoyapokea kutoka CC. idadi yao itakuwa ni wajumbe 378.

Kuna mkutano mkuu wa CCM taifa, hapa wanatafuta jina moja tu la mtu atakaesimama kukiwakisha chama coz huyu sasa ndiye mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM.

Idadi ya watu ni 2,455
Hapa kura zitapigwa, kumbuka hapa ndipo viongozi wa CCM wanaingia, wale makatibu na wenyeviti wa CCM wilaya na mikoa.

Sasa hadi hapo majina matano tayari na kuna majina yamekatwa na kisha tumesikia watu ama wajumbe baadhi wakilalamika juu ya mchakato mzima na kusema kuwa haki haikutendeka na hawakubaliani na maamuzi hayo.

Swali: Je, umamuzi huo unaweza kubadilishwa?

Kwa mujibu wa katiba ya ccm, wenye uamuzi huo sio wengine bali ni mkutano mkuu wa CCM wa Taifa
Yaani hao watu 2,455.

Katika katiba ya ccm, lile fungu la 7
Vikao vya Taifa.
Kipengele cha 105: Mkutano mkuu wa CCM wa Taifa
Alafu
Pale ktk 106: kazi za mkutano mkuu wa CCM wa Taifa:
Kuna kipengele cha (3)
Kinasema:

"(3) Kuthibitisha, kubadili, kukataa au kuvunja uamuzi wowote uliotolewa na kikao chochote cha chini yake au na mkuu yeyote wa CCM."

Hapo sasa ndipo akina nchimbi, Sofia simba, Adam kimbisa na wengine wanapasubiria
Ili walianzishe upya
Coz hapa ama hichi ndicho kikao chenye maamuzi ya:

-Kuthibitisha
-KUBADILI
-KUKATAA au KUVUNJA uamuzi wowote ukiwemo wa CC na NEC
(+ huo wa akina makamba, magufuri, migiro- hayo majina matano yaliyotolewa)

Je watafanikiwa kumrudisha chaguo lao
Hapo ndipo team nyingi zinasubiri miujiza
Hasa team Lowasa!
 
Hili tulilijua kitambo tu.
 
Nape ni mpumbafu sana ..
E LOWASSA.jpg
 
Mbona inchi hajatikisika sasa? Ila kwa hao waliopita Ukawa njia nyeupe sana labda waibe kura.
 
Asante kwa maelezo yako.Mimi sitashangaa hayo yakitokea maana niliyatarajia tangu siku nyingi tu.
 
Yaani namuona Rais wa 6 wa Tanzania akitoka ktk ukoo wao tena.. Dhambi kubwa hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom