Confirmed: Msichana Aliyepanga Nyumba

For her own good na kama anataka kuolewa mapema zaidi, hapaswi kuhama.

Kiukweli inaleta heshima kumchukua binti kwa wazazi wake kuliko umkute yuko full furnished geto kwake.
Ndo mwanzo wa dume zima kuambiwa unikome kwani hukunikuta nalala na njaa,,wanawake wengi wa namna hiyo ni arongant sana.

Tehe teheeeee! Mpaka uambiwe unikome unakuwa umefanya nini labda??? Si ndio yaleyale, hivi wewe unajua gharama ya hio gari au unaendesha endesha vibaya tu.kakajambazi bwana.
 
ndo maana mada inasema hautakuwa wife material!

Wife material??? Hiyo inakuja je jamani kwa kukaa na wazazi hata kama nafanya madhambi kisiri siri. What if kwa sababu za msingi kabisa nimepanga au nimejenga nakaa peke angu labda na house girl, namheshimu Mungu, na najiheshimu mm mwenyewe na watu wengine.Uwife material unatoweka??
 
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.

Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??

Kama wazazi wake wanaishi chumba kimoja aendelee kuvumilia kelele za mama yake akiwa mchezoni na babaye?
 
Mkaka ambaye ashaenda age halafu bado anakula na kulala kwao sio husband material.
 
Mkaka ambaye ashaenda age halafu bado anakula na kulala kwao sio husband material.

Haswaaa, tena ukikutana nae sahau yote kimbia, labda kama umeamua na umejipanga kukabidhiana na mariooooo life style. Haha haha msinipige jamani.
 
Kama wazazi wake wanaishi chumba kimoja aendelee kuvumilia kelele za mama yake akiwa mchezoni na babaye?

Kama atakua anaakili, atawashauri wazazi wake watafute nyumba nyingine itakayo waaccomodate wote,, na sio kwenda kutafuta chumba cha self na kulipia 2mil kwa mwaka.

Au kama ni nyumba ya wazazi, lazma kutakua na kanafasi ka kujenga chumba pembeni. Wengi wenu mnaona bora wazazi wapangishe wapangaji kuliko yeye kuishi mle.
 
Unamshauri mzazi ee! Ye anataka kupanga we unamwambia usipange nipe mm nikae. Nway ni rahisi kusema lkn uhalisia wake mmmh!

Bwana bwana, ninabaki nikiamini hivi, Mke mwema kwako, mume mwema kwangu anatoka kwa Mungu, haijalishi yupo wapi, hata kama anauza bar kama Mungu amepanga huyo ndo mke wako wakati ukifika atamtengeneza na utajikuta umemuoa tu. Cha msingi we linda moyo wako, mheshimu Mungu, maana njia zake zinatisha. Ukizingatia sana mitazamo hi bila kumshirikisha Mungu, unaweza ukaoa hata mtoto wa mchungaji ambaye hajawahi hata kulala nje ya nyumbani, hata boarding hajawah kwenda,

Lakini ukajikuta unarudi hapa kuomba ushauri, ndoa imekuwa ndoano.

Ubarikiwe kakajambazi. Lakini usiwe jambazi wa ndoa.
 
teh teh..
now tell me a woman that is not wife material yuko vipi hasa!!!!!!
no. 1 Hakuna harusi niliyohuzuria nikaona bibi harusi mbaya siku ya harusi.. they all look very beutifullly
no. 2 we vary on what type of woman we want! so siamini kilicho kibaya kwako kwangu pia kibaya. mbana mkeo hata 1 night stand mm sikubali kuwa naeeee coz kwangu mbaya sanaaaaaaaaaa
no. 3 family vary in culture and wealth so dada yako kama amengangania hm mpaka leo ingawa ana miaka 54 huyo mzembe 2. mwambie achichanganye kitaaaa
no. 4 nina kazi naenda kufanya nikirudi nitakuja kumalizia.:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::hungry::hungry::hungry::hungry::hungry:
 
Ungekaa kwa wazazi afu unafuata maadili yote ya kurudi mapema,kuhudhuria misibani,jumuiani,harusini nk ungekua umeishaolewa zamaaani.

ndoa anapanga mungu baba na kama hukupangiwa kuolewa utasota hm mpaka ushangae, na hv kukaa nyumbani na wazazi mchezo nn hicho chumba pengine unashare na wadogo zako na ndugu wengine ukirudi unakuta kila ki2 kimevurugwa na mambo mengine mengi 2 yanayokera akha mwenzangu na nisiolewe 2
 
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.

Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??

mbona we kaka angu hujajiuliza hilo swali kwa nn amepanga bali umerukia 2 ku conclude kwamba sio wife material. Huyo uliekutana nae akakupa hiyo experience hata alipokua kwa baba yake askofu wa tag alikua anaruka ukuta huyo
 
Duh,naheshimu mawazo yako lakini umelitumia neno CONFIRMED vibaya,Hivi Mungu wangu wanaume wakiangalia na hili tutaolewa kweli?there should be standards za kumu ideentify wife material na asiye si kila kitu tu ukifukiria then unaenda nacho and please usi-generalize coz zipo sababu nyingi zinazotuhamisha home.:redfaces:

wala ucijali kuhusu kuolewa. Wapo kibao walioolewa, na wanajutia hali hiyo...
 
ndoa anapanga mungu baba na kama hukupangiwa kuolewa utasota hm mpaka ushangae, na hv kukaa nyumbani na wazazi mchezo nn hicho chumba pengine unashare na wadogo zako na ndugu wengine ukirudi unakuta kila ki2 kimevurugwa na mambo mengine mengi 2 yanayokera akha mwenzangu na nisiolewe 2

Kuondoka kwa mademu home kwao,,hakuwezi kukosa sababu za kufikirika. Yote katika yote bottom line yake ni kutafuta uhuru wa kufanya wanachotaka.
 
From Experience wengi wanaofanya hivyo huwa wanaficha madhambi yao...and that is a fact...bisha!
 
Inawezekana wanaopanga wanadoda (most of them) kwa sababu wako more than free. Sasa kama jamaa anamega kila anapojisikia na sometimes akitaka anahamia what will motivate him to marry you. What is he missing? ukiwa kwenu hasa familia kama zetu zenye adabu kuna masharti yatakayomfanya jamaa ahisi anabaniwa na ku feel like marrying ili awe nawe kwa muda mrefu si kwa kupimiwa. That is my views, I stand to be corrected.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom