Elections 2010 CONFIRMED: Mbozi Mashariki - CHADEMA washinda ubunge

Nimesikiliza hapa ITV confirmed huko Mbozi

Nampunga hongera sana kijana Silinde wa CHADEMA, kijana tulikua naye pale UDSM , alikuwa mtetea haki mpaka alisimamishwa chuo....katetee haki za wanambozi...Mungu akulinde ndugu

MAKULILO
 
Safi sana wameprove walichomwambia JK na mkewe kwamba they will vote for vidole viwili.
 
Nimesikiliza hapa ITV confirmed huko Mbozi

Nampunga hongera sana kijana Silinde wa CHADEMA, kijana tulikua naye pale UDSM , alikuwa mtetea haki mpaka alisimamishwa chuo....katetee haki za wanambozi...Mungu akulinde ndugu

MAKULILO

This is great.....Wapiganaji hawa sipati picha hapo mjengoni hakutakalika.
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nimesikiliza hapa ITV confirmed huko Mbozi

Nampunga hongera sana kijana Silinde wa CHADEMA, kijana tulikua naye pale UDSM , alikuwa mtetea haki mpaka alisimamishwa chuo....katetee haki za wanambozi...Mungu akulinde ndugu

MAKULILO

Silinde anatoka mbozi magharibi Tunduma. Mbozi mashariki ni vwawa na mlowo. Lakini kulikuwa na dalili za majimbo yote mawili kwenda CHADEMA
 
Hongera mpiganaji...walitaka Kuchakachua ila nguvu ya umma ikawazuia watu wamekesha toka walipopiga kura
 
Vyovyote vile silinde david , mgombea wa chadema ameshinda jimbo la mbozi masharik
 
Nampongeza kakaangu SILINDE DAVID kwa kupewa ridhaa ya kuwaongoza wana Mbozi. Naamini harakati zake nilizozishuhudia pale Chuoni UDSM zitaelekezwa bungeni kuleta maendeleo Tanzania nzima kwa ujumla. Big up my brother Silinde!
 
mbona humtoi data, onesha kapata ngapi SILINDE pls! na mshindwa kapata ngapi?
 
Silinde anatoka mbozi magharibi Tunduma. Mbozi mashariki ni vwawa na mlowo. Lakini kulikuwa na dalili za majimbo yote mawili kwenda CHADEMA

Jimbo la Mbozi Mashariki limechukuliwa na Godfrey Zambi wa CCM.
 
Nafurahia kuona mabadiliko yanatokea hatua kwa hatua. Ila tuna kazi kubwa sana kwenye mikoa ya ruvuma, dodoma na morogoro. Nina wasi wasi kama wanajua nini maana ya mageuzi ya kifikra na dhana ya kuchagua kiongozi ambaye anasumbuliwa na umasikini wetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom