Nimesikiliza hapa ITV confirmed huko Mbozi
Nampunga hongera sana kijana Silinde wa CHADEMA, kijana tulikua naye pale UDSM , alikuwa mtetea haki mpaka alisimamishwa chuo....katetee haki za wanambozi...Mungu akulinde ndugu
MAKULILO
source: ITV

Silinde anatoka mbozi magharibi Tunduma. Mbozi mashariki ni vwawa na mlowo. Lakini kulikuwa na dalili za majimbo yote mawili kwenda CHADEMA
Jimbo la Mbozi Mashariki limechukuliwa na Godfrey Zambi wa CCM.