Elections 2010 CONFIRMED: Maswa Mashariki na Magharibi: CHADEMA yaua tena

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Hatimaye msimamizi wa uchaguzi majimbo mawili ya maswa amemtangaza John Magale Shibuda na Kasulumbayi kuwa wabunge wa maswa magharibi na mashariki kwa tiketi ya Chadema
 
km kweli itakuwa poa sana..........jamani....ila tarime wametuangusha vibaya
 
Asante kama ni kweli.

Yeah man - maana kila mtu sasa amekuwa anandika kile ambacho ANGEPENDA kitokee!!

Natamani nifunge laptop nikapumzkke tu na nije kuangalia confirmed results kesho..lakini I just can't do it!
 
Jamani kuweni waungwana, source ni muhimu sana maana hadi saizi kichwa kinauma kwa sababu habari hazina miguu
 
Hatimaye msimamizi wa uchaguzi majimbo mawili ya maswa amemtangaza John Magale Shibuda na Kasulumbayi kuwa wabunge wa maswa magharibi na mashariki kwa tiketi ya Chadema

Chanzo na takwimu tafadhali
 
Shibuda comfirmed ameshinda Maswa, na ameshatoa victory speech sasa hivi ni maandamano ya chereko ya kutoka ofisi za mkurugenzi wa halmashauri.
 
Maswa Mashariki
17075 CHADEMA -
17014 CCM


maswa magharibi
12135 CCM
17456 CHADEMA - Shibuda karudi

hakika mwaka huu ni wa CHADEMA watabana lakini wataachia
 
Wagombea wa Ubunge CHADEMA Maswa Mashariki (UDP443, CUF 485, CCM1,7014, CHADEMA 17,075) na Maswa Magaharibi UDP 381, CUF 1845, CCM12,135, CHADEMA 17,459; Shibuda), wameshinda.

Source Channel 10
 
Majimbo yote mawili

maswa magharibi kura 17452-kaumbai chadema

maswa mashariki 17075 shibuda chadema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom