Hanang -Nagu Kashinda (official results), Mathayo kapita(official results)Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
NAGU ni mshindi, usikurupuke mkuu
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang!
Nagu ni mshindi LAKINI halmashauri yake sehemu kubwa imeenda Chadema.
Hali hii inaashiria uchakachuaji.