Elections 2010 CONFIRMED: Mary Nagu ashinda Hanang

Chromium

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
589
185
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
 
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
Hanang -Nagu Kashinda (official results), Mathayo kapita(official results)
 
Uongo Nagu kashinda ila sijui kwa David Mathayo lakini kwa Nagu kashinda kwa magin ya kula elfu kadhaa ingawa sio kubwa!
 
Nadhani kuna watu wameamua kuharibu hii thread ya upatikanaji wa matokeo makusudi na huyu ni mmoja wao.......MODERATOR UNASEMAJE????
 
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!

Unakuja kubandika wishes zako hapa ukidai ni matokeo???
Nagu katangazwa mshindi muda mrefu sana....kwa Mramba wishes zako zimetimia....kwa Mathayo sina taarifa!
 
Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!

Umechanganyikiwa. Umepumbazika. Umepuuzika.
 
Jamani tuwe tunatoa information zilizo enda shule tuache kudanganya haitusaidi jamani tunashusha hadhi ya colum hii :nono:
 
@ Moderators, credibility ya news/alerts posted hapa is very very crucial, please find a way to filter out watu wanaotoa habari za uzushi, uongo ni tabia ya CCM na si mnaona inavoangamiza nchi? habari za kweli na zenye uthibitisho tu plz!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa hii inakuwa haifai. Watu waliombali na Tanzania wanategemea blog kama hii kujua kinachoendelea nyumbani. Tangu asubuhi tunajua Nagu kashinda (confirmed) alafu mtu anakuja na zake kusema kashindwa. Naomba tuheshimu sehemu kama hii kusudi wanaoitegemea kupata data za nyumbani waendelee kuihamini.
 
"Baija Bolobi;

Nagu ni mshindi LAKINI halmashauri yake sehemu kubwa imeenda Chadema.
Hali hii inaashiria uchakachuaji."

Siyokweli mzee hata kwa zito karibu halmashauri yote imeenda CCM. Hiyo ndio demokrasia
 
Acha udaku mkuu unauhakika? Siyo kuturusha hapa tunashangilia kumbe hola. Mramba sawa ila kwingine confirm kwanza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom