Confirmed.Madiwani wa CHADEMA Arusha Nanyaro na MSofe kizimbani kesho

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Peoples madiwani wetu Mh Msofe na Nanyaro waliopigwa na mgambo wamegeuziwa kibao wao na watapelekwa mahakamani kujibu tuhuma za kupiga mgambo Jumatatu.Anayewabambikia kesi hiyo ni mkuu wa wilaya ya Arusha.Makamanda tujitokeze kwa wingi,tuma kwa wengine
Hii ni sms nimeipokea lakini nimeongea na baadhi ya viongozi wa CHADEMA na kukiri kuwa madiwani hao watasimama kizimbani kesho Jumatatu Juni 2
Mara kadha Nanyaro ambaye ni mwenyekiti wa wilaya wa cdm amenukuliwa akisema kuwa kauli ya.DC Mongela ni hatari kwa amani na ustawi wa watu waArusha.na hivyo chama chake kimesusa kutoa ushirikiano na dc huyo
 
bora wafungwe tu hawana maana yoyote..ki ufupi ni mzigo kwa wana arusha
 
Arusha imebadilika sio A.town ile tuliyekuwa tunaijua,vichaa wamepewa rungu tabu sana.
 
Aiseee Arusha chini ya Lema ni jiji la vurugu.
 
Mungu atawasaidia maana mungu asema niiten nami nitaitika ktk magumu nita wasaidia.
 
Back
Top Bottom