...kwa hiyo enzi hizo ulikuwa unaweza kushinda hata kura zisitoshe? Maana unadai hii mara ya pili kushinda. Vipi Mzee wa LEAT, Mwanasheria kweli wewe?
Ndiye.dah! huyu njau si ndiye aliyeresign DSE, au??
Lisu ndani ..source tbc 1
Tupe idadi ya kura mkuu