Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

Safina

JF-Expert Member
Jun 18, 2009
497
64
Lema tayari mbunge, ndo tunashangilia ushindi hapa.

Kura:

CHADEMA: 56,000+
CCM: 36,000+

Peopleeeeeeeeeeeeee's Power.
 
nINA MASHAKA KAMA NI KWELI HII HABARI, MAANA HADI DAKIKA KUMI NYUMA ILIKUWA BADO!
 
naombeni mtupe taarifa za ukweli watu wa mungu maana kila mmoja anakuja na sredi
 
Jamani, niko mita kadha toka eneo la tukio, bado hakuna kitu...Lema , Ndesamburo, Mbowe na watu wa CCM bado wako chumbani!..Tuwe wapole tusubiri!
 
Hebu chekini hii website, tunatofautiana lakini si maadui, ni mtizamo tu, CCM si mbaya mbaya ni wale waliojiunga nacho na kukitumia vibaya, sasa wamejikita kiasi kwamba ni vigumu hata kuwasogeza hata kwa winchi. So, unawaacha unajenga pembeni na ujenzi ndo umeanza, miaka mitano ijayo tunapaua, hata kama hatutapaua safari hii. Pipoooooooooooooooooooo....
 
Mimi kuanzia saa kumi nimejulishwa kuwa matokeo Msimamizi wa uchaguzi alikuwa kamaliza kazi yake ila CCM walikuwa wanamzuia asitoke nje na kuyatamka................kura zimejumlishwa mara kadhaa lakini CCM sasa wanataka maboksi yafunguliwe na hilo Msimamizi hana mamlaka ila kwa kibali cha Mahakama tu...............................Lowasaa na JK sijui wanataka kuipeleka wapi nchi hii.huku wanahubiri amani huku wanajenga mazingira ya kuivunja amani hiyo wao wenyewe...........................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom