Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

Jamani ni kweli Lema kashinda Arusha nimewasiliana na mtu from tukio now.... Jamani tumwombee Batilda asije akajifungua kachanga chake kabla ya muda kufika...
 
Lema mwenyewe mnayetaka kumpigania ni muhuni na tapeli tu. Kama tungefanya intavyuu kati ya Buriani na Lema, kila mtu mwenye akili timamu angemchagua Dr. Buriani. This is where democracy got it wrong. Ideological na ushabiki gets in commonsense.

Yule profesa wa Ulanga (chadema), hata mimi CCM damu, lakini namkubali kuingia bungeni koz it will make it better, kuliko hata mdau wa CCM. Sasa huyu muhuni Lema, anatuwekea jiji letu la bata (A-town) katika roho juu juu. Kazi yenyewe ya ubunge he is unqualified.
 
Jamani ni kweli Lema kashinda Arusha nimewasiliana na mtu from tukio now.... Jamani tumwombee Batilda asije akajifungua kachanga chake kabla ya muda kufika...

wewe mwanzol ulisema batilda kashinda,sasa unasema lema..mods please futeni hizi threads zote za arusha mjini mpaka tutakapopata matokeo yaliyothibitishwa
 
Mimi kuanzia saa kumi nimejulishwa kuwa matokeo Msimamizi wa uchaguzi alikuwa kamaliza kazi yake ila CCM walikuwa wanamzuia asitoke nje na kuyatamka................kura zimejumlishwa mara kadhaa lakini CCM sasa wanataka maboksi yafunguliwe na hilo Msimamizi hana mamlaka ila kwa kibali cha Mahakama tu...............................Lowasaa na JK sijui wanataka kuipeleka wapi nchi hii.huku wanahubiri amani huku wanajenga mazingira ya kuivunja amani hiyo wao wenyewe...........................
Kwa nini wanakuwa wagumu kupokea matokeo hao ccm?
 
the results have not been announced
wameamua kuchelesha because of tension
hakuna mshindi mpaka sasa
reliable source from Arusha
Tuwe wavumilivu
 
MUNGU ni mwema, fisadi Lowasa na njama zake zimeshindwa. Nafikiri alikuwa anatingisha kiberiti amekuta kimejaa. Hope ujio wa Ndesa na Mbowe ulikuwa special kwa hilo.
 
ameshinda kwa zaidi ya kura 56700, dhidi ya 37460 za ccm
souce-star tv
 
Tunashukuru, tayari majimbo rasmi ya chadema ni matatu mpaka sasa (Musoma mjini, Arusha mjini na Meatu), tunasubiri mengine
 
Back
Top Bottom