Elections 2010 CONFIRMED: Kasulu Mjini - NCCR Mageuzi waibuka KIDEDEA

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,660
Habari kutoka jikoni kabisa jimboni Kasulu mjini ni hivi...

NCCR Mageuzi: 15,299 (Machali Moses)

CCM:10,849 (Neka Raphael)

CHADEMA: 6,583 (Ismail Luyagaza)

Kasulu VIJIJINI CCM chali pia, kachukua NCCR Mageuzi. Data baadae
 
Kwangu mimi ushindi wa chama chochote kile cha ushindani ni bora kabisa kuliko jimbo kuangukia kwa CCM, ila ni wasiwasi sana na kile ambacho Mrema atafanya kwani hivi sasa ni kibaraka wa Kikwete na CCM.
 
Kama ni kweli basi hizi ni habari mzuri kwa JK maana ushindi wa Chadema ndio unaompa shikeshike JK sio ushindi wa CUF au NCCR...ndio mana tukasema hadi wapinzani watakapo ungana CCM bado itakuwa DUME.
 
Tunataka ushindani wa vyama vingi bungeni, mchanganyiko ulio mzuri wa aupinzani na siyo wingi tu wa viti vya chadema.
Think braoadly...
 
Kama ni kweli basi hizi ni habari mzuri kwa JK maana ushindi wa Chadema ndio unaompa shikeshike JK sio ushindi wa CUF au NCCR...ndio mana tukasema hadi wapinzani watakapo ungana CCM bado itakuwa DUME.

mkasema na nani manafiki wa ccm nyie?
 
Kama ni kweli basi hizi ni habari mzuri kwa JK maana ushindi wa Chadema ndio unaompa shikeshike JK sio ushindi wa CUF au NCCR...ndio mana tukasema hadi wapinzani watakapo ungana CCM bado itakuwa DUME.

itakuwa dume kwako tu,unaunganisha wanamageuzi na Mrema au Mbatia unategemea nini?mbona ccm wanashinda bila kuungana?mbona mnyika anashinda bila kuungana? watu wanatakiwa wawe na uelewa na utashi wa kisiasa,ushindi ni dhahiri. Mpaka sasa dr Slaa anafanya vizuri sana.
 
Kuna uvumi kwamba mgombea ubunge wa CCM aliyeshindwa vibaya Kasulu mjini yupo hoi, kalazwa hospital. Presha inapanda na kushuka. I guess waliomkopa sasa wameanza kubeep....
 
Back
Top Bottom