Elections 2010 CONFIRMED: Karatu watangaza matokeo, CHADEMA yalikomboa!

Profesy

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
385
13
Taarifa kutoka karatu ni kwamba pastor israel ameshinda jimbo la karatu mjini

chadema - 46 000+

ccm - 20 000 +
 
Jamani vipi matokeo ya Jimbo la Hanang alikokuwa Mtalaka wa Dr Slaa??????
 
inguluvi itange mweeee
bado zingine tutakutana nao mahakamani!!
 
inguluvi itange mweeee
bado zingine tutakutana nao mahakamani!!
veve ulongile namwaka kumahakama tuheka sana,
Ukiona mzee kobe kainama..............................:smile::yield:
 
habari kama hizi tafadhali tutafutie taarifa zaidi kuthibitisha
nitakupasua!!!!!!!!!!!!!
yani mimi nimerudia kama nilivyosikia sitafuti ugomvi. Mimi nataka rose kamili ashinde kwa wakika...
 
Mwaka 2015 tutegemee Tz mpya kabisaaaaa!
Mwee!!
Raha niliyokuwa nayo hata apetaiti ya kazi sina kabisa.
 
Jamani vipi matokeo ya Jimbo la Hanang alikokuwa Mtalaka wa Dr Slaa??????

Mtalaka wa Dr. Slaa ameashindwa na Dr. Nagu, ila Halmashauri imenyakuliwa na CHADEMA.
CCM wana madiwani 12 kati ya kata 25.
 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema ametangazwa mshindi sasa hivi.

Ubunge
CCM - 26,000+
CHADEMA - 41,000+

Udiwani
CCM - 4
CHADEMA -10

Urais
CCM - 24382
CHADEMA - 43297
barabara kuu iendayo Arusha imezibwa kwa umati wa watu wakiandama. Picha zitafuata punde.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom