Elections 2010 CONFIRMED: Kapuya ashinda Urambo Magharibi

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
ITV sasa hivi waonyesha Prof. kapuya kidedea urambo Magharibi na watu wawili wamekufa wakisherhekea ushindi huko..................
 
Matokeo bado hayajatangazwa. Acha kuposha hata mimi hapa nime tune itv.
 
ITV sasa hivi waonyesha Prof. kapuya kidedea urambo Magharibi na watu wawili wamekufa wakisherhekea ushindi huko..................

Sawa tu..............

As long as Masha and Burian are NO MORE

Angalizo: Wanyamwez siyo wasukuma
 
Back
Top Bottom