Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
Kwa masikitiko from mjengwa blog...IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA!
Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha nyuma Mama Monica Mbega (CCM). CHADEMA pia imepata kiti komoja cha udiwani, hivyo basi itakuwa na madiwani wawili, maana, mbunge, kwa nafasi yake, naye ni diwani.