Elections 2010 CONFIRMED: Idd Azani alitetea jimbo la Kinondoni

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Muda mfupi uliopita katangazwa kuwa mshindi na kuweza kukitetea kiti chake.

Idadi ya kura itafuata
 
Ana issue kwani kawa mbunge miaka 5 kaulize kuna nini? Upande wangu hafai tulipiga against naona hazikutosha.
 
Imeniuma kweli aisee.
Jamaa hakuna chochote alichokifanya term iliyopita.
 
Jamaa hafai na biashara zake haramu. Anatumia hela haramu kuchafua siasa. Ila chadema jizatiti mwaka 2015 kuteka Dar yote. Nionavyo mimi inawezekana.
 
Jamaa hafai na biashara zake haramu. Anatumia hela haramu kuchafua siasa. Ila chadema jizatiti mwaka 2015 kuteka Dar yote. Nionavyo mimi inawezekana.

Huu ndiyo ukweli....hakuna uhaja wa kuhangaika na maziwa ambayo tayari yamekwisha kumwagika...........
 
Nashukuru kituo cha Mapambano shuleni CHADEMA iliongoza kwenye urais,Ubunge na Udiwani... Hajafanya lolote zaidi ya kugeuza watoto wa wa2 haswa huko Mwananyamala na Kinondoni kuwa mateja... $§@nnnzy!!! Kabisa...
 
Sijawahi kuona jamaa hovyo kama huyu. Hawa ndio wauzaji wa unga namba moja pale kinondoni. Amepita kwa ushabiki tu lakini huyu jamaa ni ziro kabisa. Jimbo la kinodnoni na Ilala ni majimbo ambayo ni muhimu sana kwa taifa letu. Haya ndio taswira nzima ya nchi. Kindononi na Ilala ndio majimbo yenye wapiga kura walioelimika na wenye taarifa zaidi lakini ndio wakwanza kwa kuchagua wawakilishi wabovu kuliko majimbo mengine.

Anyway, hainishangazi manake wajinga ndio waliwao...! Afadhali jimbo langu halikuichagua CCM wala hatuna uwakilishi wao wa aina yoyote...!
 
Kigamboni CCM wamechukua jimbo kwa kura nyingi.

Pia rais JK ameshinda kwa kura nyingi (zaidi ya mara mbili ya Slaa).
 
Back
Top Bottom