Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

Hapo hawajatoa 10% ya aliyewaletea dili na wakitafakari mambo yalivyo magumu kwenye tasnia huku wakiwa na changamoto kibao na madeni hawakutaka kufikiria hata mara mbili na zaidi akili zao zote zililenga kuongeza magari mapya ni D waweke heshima mtaani

Watu hawajafikiria kwenye hyo 50mil wakumbuke kuna waliowapa huo mchongo ambae ni Wema na Steve nyerere na wote lazma wapate mgao 10% hiyo watakayo baki nayo itatosha kujenga nyumba ya aina gani? stress tu za maisha na tamaa! hapo watanunua mark x itakayo baki ni kwena kuweka heshima club na ya petrol hela inaisha!
 
UKAWA tusisahau akina mama ambao ni kundi kubwa.Wengi hawajasoma na wanapenda sana bongo movie na wala wao huwa hawatafakari kwa kina.So wasipopanga mpango madhubuti jinsi ya kuteka fikra za hao kina mama na wanawake itakua shida 25/october.
Penye kadhia penyeza rupia....
 
Hao wengi wao sio wapiga kura
 
Leo nimezungumza na waziri mmoja kijana sitomtaja jina maana anajua mi niko chama chake na mimi ni mchangiaji mzuri .

Ni kweli wamelipwa million 50 kila mmoja na ilo deal la ushawishi lilifanywa na Wema na Steve.

Lakini hiyo pesa si kujitoa tu Ukawa bali pia ni mkataba wa kuifanyia kampeni ccm pia.Si kutoka tu.

Kampeni zitakuwa kwenye mitandao ya kijamii,kwenye vyombo vya habari na majukwaa huo ndio mkataba ulivyo.

Na chanzo kinasema walivyotajiwa million 50 wala hawakutafakari mara 2 moja kwa moja walikubali maana wanasema sanaa nayo inazingua sasa sio kama alivyokuwa Kanumba walikuwa wanapata pesa na.mwamko ulikuwa mkubwa wa watu kununua kazi zao,sasa hivi watu eti wameacha kununua wanakodi vibandani na kubani.

Chanzo pia kinasema wamejaribu kumshawishi jackline lakin imeshindikana kabisa.

Ni hayo

Ndio maana Aunt Ezekiel kutwa kuchwa anashinda Kwenye mtandao wa Twitter, akaunt yenyewe kafungua juzi
 
yani mm nikipewa 20m napiga kura na ukoo wangu wote ccm bila ubishi kiroho safi
 
Tukubali ukweli kuwa momentum ya upinzani imepungua baada ya kukaribisha makapi kuongoza jahazi..ile ilikuwa ni gross miscalculations!!
Eti leo tumefikia stage kuwa Upinzani wanapata kigugumizi kutamka neno "fisadi"! Ni dhahiri kuwa 4U Movement wamechukua uskani na kuweka M4C kiti cha abiria. Na hii itaendelea hata ikitokea chadema imeshinda...tutarudi kulekule.
Nawasihi mfanye maamuzi sahihi

wewe ndo umepungua
 
Maamuzi sahihi ni kuipumzisha ccm(chanzo cha matatizo) ikajifunze na iwe na nidhamu.
 
Mimi kwa sasa naomba ccm waniletee wizkid au burna boy mana hawa wasanii wakina diamond , alikiba na wengineo wa bongo movie tayar tumewamaliza kuwaona kwenye show zao za ccm na hakuna mpya tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom