CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

siyo wanataka kuchakachua ila hapo ndo wamechakachua mwisho wa uwezo wao kupunguza aibu yao. Naamini the gap was three times bigger before the mchakachuo exercise. We kazi ya cku mbili mchezo!
 
Braaaaaaaaaaaaaaaaaavo Halima! Verry intelegent Huyu dada ni kichwa halafu ni jasiri nilikuwa nampenda sana jinsi alivyokuwa akiwasilisha hata pale spika alipojaribu kumtisha hakuogopa,na this time wapo wengi wa ku-back up akina Lisu zito nk mbona bunge litawaka moto? Hata kama spika wakimweka lowasa atakoma ningesikitika sana kumkosa huyu mdada mjengoni kweli ni jasiri hata kuthubutu kugombea jimbo ambalo vigogo wote wa ccm na viongozi wastaafu wanaishi humo na akawagaragaza PEOPLES?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! POOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani nitoeni ushamba hivyo malaria sugu ndo nini?

Kimsingi katika mfumo wa Tiba Hakuna Kitu Kinachoitwa Malaria Sugu (Chronic Malaria) bali Kuna Malaria ( Kali)- Complicated Malaria ambayo kwa Mfano imehusisha Ubongo na pengine figo (Renal Failure).
Malaria siyo Chronic Disease kwani Huua kwa Haraka. Ili Ugonjwa uwe sugu...au Chronic maranyingi ni kwamba japo unaweza kuleta Madhara chini ya wiki 2 lakini angalau mtu anaweza kukaa nao kwa zaidi ya wiki 2 au pendine unajirudia rudia mfano Ugonjwa wa Masikio -Chronic Otitis Media.
Malaria kama nilivyosema yaweza kuwa ile ambayo haijachanganya sana (Uncomplicated Malaria) Au iliyochanganya na kuonyesha dalili za hatari kama kupoteza fahamu, Degedege (Hasa kwa Watoto),Kuchanganyikiwa n.k na hii inaitwa Complicated Malaria ...KWA HIYO HAKUNA MALARIA SUGU katika mfumo wa Magonjwa
Hata ukuiangalia Kijiografia Kuna Endemic Malaria areas-Yaani Sehemu ambapo kuna mbu wengi wa Malaria na kwamba watu wanaugua Malaria mara kwa Mara. 'Epidemic Malaria' siyo Common sana kwani kama Africa Malaria ni 'Endemic' toka nasomea mambo haya sijawahi kuona sehemu yenye 'Outbreak' or 'Epidemic' au kwa Kiswahili Mlipuko wa Ugonjwa Wa Malaria
Ukija Katika Dawa.. Wadudu wa Malaria (Plasmodium) wanaweza Kujenga Ukinzani/Usugu dhidi ya Dawa ya Malaria kama vile Fansider au Chloroquine kuna wadudu wengi wamejenga Ukinzani(Resistance) ..Lakini Plasmodium Kujenga ukinzani (Resistance) kwa dawa hatuwezi kusema ni MALARIA SUGU labda usema PLASMODIUM SUGU,kwa kuwa kinachoongelewa hapa ni Vimelea vya Malaria na siyo Malaria Yenyewe na Japo Plasmodium wanaweza kuonyesha resistance bado Kuna Dawa zinaweza kuwaua kwa mfano IV Quinine na Artemether Injection. Na Vimelea (Plasmodium) vya Malaria ni Tofauti sana na Ugonjwa wa Malaria.
Mfano mwingine ni UKIMWI na VVU. Virusi vya Ukimwi vinaweza kujenga ukinzani dhidi ya ARV lakini hauwezi kusema mtu ana UKIMWI Sugu!
Kwa hiyo mwana JF 'Malaria Sugu' kama anataka kujenga Maana ajiite 'Plasmodium Sugu'

Tuwasiliane kama Hujaelewa
 
Toba !! Yamekuwa haya!!
Ndugu yangu, mbona pongezi zimetolewa saana? N aunajua nini? CUF haiamniki tena, maana hiyo imeshakuwa ni CCM B, wameamua kula na mafisadi.
Hivi huku bara cuf walikuwa na viti vya majimboni vingapi?? au ndo vile vya kuteuliwa unavyoviongelea???
CUF wangehitaji umoja wa wapinzani wasingeipa CCM Ubunge wa Tarime maana CCM ni kura 28600+ na CHADEMA 27300+ na CUF na NCCR @ 7000+ hivyo CUF ndo wamewapa CCM ushindi.
 
hakuna Mungu kma wewe bwana ahhhh ahhhhhhh ,Hakuna Mungu kama wewe Alah aahhhha hhhhhhhh, unaweza eeeeeh eeeeeh eeeeh eeeeeeeeeeeeh HAKUNA MUNGU KAMA WEWE BWANA AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH!
Hureeeeeeeeeeeeeeeeee Mdeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mdeeeeeeeeeeeeeeeeeee oops ! too much noise , Make mo noise out there wuuuuuuuuuuw
 
Kimsingi katika mfumo wa Tiba Hakuna Kitu Kinachoitwa Malaria Sugu (Chronic Malaria) bali Kuna Malaria ( Kali)- Complicated Malaria ambayo kwa Mfano imehusisha Ubongo na pengine figo (Renal Failure).
Malaria siyo Chronic Disease kwani Huua kwa Haraka. Ili Ugonjwa uwe sugu...au Chronic maranyingi ni kwamba japo unaweza kuleta Madhara chini ya wiki 2 lakini angalau mtu anaweza kukaa nao kwa zaidi ya wiki 2 au pendine unajirudia rudia mfano Ugonjwa wa Masikio -Chronic Otitis Media.
Malaria kama nilivyosema yaweza kuwa ile ambayo haijachanganya sana (Uncomplicated Malaria) Au iliyochanganya na kuonyesha dalili za hatari kama kupoteza fahamu, Degedege (Hasa kwa Watoto),Kuchanganyikiwa n.k na hii inaitwa Complicated Malaria ...KWA HIYO HAKUNA MALARIA SUGU katika mfumo wa Magonjwa
Hata ukuiangalia Kijiografia Kuna Endemic Malaria areas-Yaani Sehemu ambapo kuna mbu wengi wa Malaria na kwamba watu wanaugua Malaria mara kwa Mara. 'Epidemic Malaria' siyo Common sana kwani kama Africa Malaria ni 'Endemic' toka nasomea mambo haya sijawahi kuona sehemu yenye 'Outbreak' or 'Epidemic' au kwa Kiswahili Mlipuko wa Ugonjwa Wa Malaria
Ukija Katika Dawa.. Wadudu wa Malaria (Plasmodium) wanaweza Kujenga Ukinzani/Usugu dhidi ya Dawa ya Malaria kama vile Fansider au Chloroquine kuna wadudu wengi wamejenga Ukinzani(Resistance) ..Lakini Plasmodium Kujenga ukinzani (Resistance) kwa dawa hatuwezi kusema ni MALARIA SUGU labda usema PLASMODIUM SUGU,kwa kuwa kinachoongelewa hapa ni Vimelea vya Malaria na siyo Malaria Yenyewe na Japo Plasmodium wanaweza kuonyesha resistance bado Kuna Dawa zinaweza kuwaua kwa mfano IV Quinine na Artemether Injection. Na Vimelea (Plasmodium) vya Malaria ni Tofauti sana na Ugonjwa wa Malaria.
Mfano mwingine ni UKIMWI na VVU. Virusi vya Ukimwi vinaweza kujenga ukinzani dhidi ya ARV lakini hauwezi kusema mtu ana UKIMWI Sugu!
Kwa hiyo mwana JF 'Malaria Sugu' kama anataka kujenga Maana ajiite 'Plasmodium Sugu'

Tuwasiliane kama Hujaelewa
Aisee hii Artemether injection imemsababishia ndugu yangu shida sana. Nakupataje unisaidie?
 
Back
Top Bottom