Jamani za kweli hizi ? maana hawakawii kusema kuna kura toka kisiwa fulani zilikuwa hazijafika na Mama akawa kidedea, yaliwahi kutokea enzi za Msekwa (nasikia kuna visiwa vingi vina watu wachache ila kura zao zinakawia kufika na zikija ni nyingi kuliko wapiga kura!)
it is too glaring obvious to ignore.........huko Ukerewe hakuna alichokifanya Mehshmiwa huyu over years of being entrusted in positions of power............
Nipo hapa Ukerewe kwa sasa na habari za uhakika kabisa ni kuwa MONGERA G wa CCM kaangukia pua na tayari amekimbizwa hospital kwa huduma ya kwanza. CHADEMA wameshinda kwa asilimia 66% ubunge na Madiwani kibao
Ndugu zangu wakerewe nawapongezeni sana na hatumuhitaji huyu mama na alishatutukana sisi wanaume wa ukerewe kwamba abhaseza nabhakunamile...............Ukerewe needs changes........Machemuli Go go go go................:israel:Chadema wera wera
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.