CONFIRMED: Dodoma mjini CCM washinda kwa kishindo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CONFIRMED: Dodoma mjini CCM washinda kwa kishindo!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lucchese DeCavalcante, Nov 1, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Matokeo ya Ubunge

  CCM 52,253
  CHADEMA 15,806
  CUF 1603

  Kata 3 CHADEMA CCM kata 34, duh kazi ipo kwa kweli anyways upinzani tumetoa
   
 2. M

  Malunde JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kila kitu kina mwanzo hawa madiwani watatu wataleta chachu ya mageuzi idodomya
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CCM waiba kwa kishindooooooo!!!!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kwa Dodoma haya yalitegemewa, si ndio Chimwaga inapatikana huko pale makao makuu yao.
   
 5. N

  Nampula JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera kwa alishinda na aliyeshindwa basi ajpange 4 2015
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  What did you expect? Dodoma, wagogo ni wapumbavu sana!!! Umasikini umewaandama lakini bado wanaikumbatiia CCM!!!

  Anyways, hata hizo kata tau zitaleta chahu!!!
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dodoma ni nyumbani kwangu ila hawa ndugu zangu hawana upeo hata kidogo,
  Wagogo hakuna kitu aiseee
  wanaboa sana na hawabadiliki kabisa,next time chadema waweke kambi dodoma kuwapa somo hao washamba.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kiwango cha uelewa kwa watu wa dodoma ni sawa na kifaranga cha kuku, tumehamishia makao makuu ya nchi yetu siku nyingi lakini watendaji wa serikali wako dsm, wao hawajui athari za kutokutekeleza maamuzi ya kuhamishia shughuli serikali makao makuu halali kunawagharimu umasikini wa kutisha.
   
 9. d

  debora Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  This is blog and is used by all people civilized and non civilized people like u, how comes u call wagogo wapumbavu?? i think everybody has the right to vote so u " be careful don't use abusive language"
   
Loading...