Elections 2010 CONFIRMED: Daniel Nsanzugwanko aangukia pua NCCR wang'ara Kasulu

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Kasulu Mjini NCCR Machale Moses kura 15,296
Udiwani: CCM viti 3, Chadema viti 3, NCCR viti 2.

Kasulu Vijijini NCCR Zaituni Agripina kura 26,130
 
hongera nyingi kwa NCCR mageuzi.

hongera kwa wapiga kura, wameonyesha ukomavu wa hali ya juu, hasa ukizingatia namna viti vya udiwani vilivyogawanyika. Safi sana
 
Hiyo halmashauri ya Kasulu Mjini kazi ipo, patakuwa panachimbika kila kikao. Hakuna mpango wa kufunika kombe mwanaharamu apite. Safi sana wana Kigoma, mmekuwa mfano bora!
 
Jamani huyu Nsanzugwanko si alikuwa upinzani enzi za NCCR ya Mrema?
 
Huyu Nsanzugwanko si alikuwa NCCR akahamia CCM kwa Mabango kibao? I am so happy he has paid the price for his arrogance!
 
Nimependa sana matokeo ya uchaguzi mwaka huu,watanzania wameanza kuonesha kutambua maana halisi ya mfumo wa vyama vingi na inaonekana sasa elimu ya uraia imeanza kusambaa kwa wananchi wengi kuhusu haki zao za msingi.
 
Mgawanyo wa viti vya udiwani unaonesha ni jinsi gani watu walivyoiva aliechukua ubunge kaambulia kata 2 kati ya nane
 
Huyu Nsanzugwanko si alikuwa NCCR akahamia CCM kwa Mabango kibao? I am so happy he has paid the price for his arrogance!

Tena this time aliamua kukimbilia kwenye jimbo jipya la Kasulu vijijini maana Kasulu mjini alikuwa hatakiwi kabisa. Alidhani vijijini ni washamba sana and will roll over for him...

Sasa na arudi tena NCCR Mageuzi
 
Ni kweli alikuwa upinzani lakini tamaa ya madaraka ikamfanya arudi CCM! Wananchi have spoken hana tija.
 
Bado kuna Kasulu Magharibi, kule Chadema ina nguvu zaidi. Pengine ndo maana matokeo ya kule hayatoki!
 
kasulu vijijini safi sana kwa maamuzi yenye akili
viva tanzania!!
 
Back
Top Bottom