Elections 2010 CONFIRMED: CHADEMA yachukua jimbo la Meatu

mohermes

Senior Member
Oct 19, 2010
124
28
Mgombea wa CHADEMA wilaya ya Meatu Ndg.Opulukwa ameshinda.Na madiwani Chadema 1 CCM 11 UDP 2
 
Hakikisha unatoa taarifa sahihi,siyo udaku hapa.matokeo yanayotakiwa hapa yawe yametolewa na tume
 
Matokeo haya ni kwa mujibu wa tume ya uchaguzi Meatu, yamethibitishwa pia redio Kiss FM
 
Dr opulukwa wa Chadema ambaye amewania ubunge jimbo la meatu kwa miaka mingi, hatimaye hivi punde ametagazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hili. Ameibuka kidedea baada ya kumbwaga ndg. JAMBO wa ccm ambaye ni mfanya biashara maarufu wa mjini shinyanga.
 
Kama ni data za kweli sawa. Msilete udako hapa. Mkitaka nendeni kwenye jamvi la utani!
 
duuuuu! today jf haikuwa sehemu nzuri kwangu mpaka saizi sijapata majibu sahihi ngoja nikaaangalie kweny TV tuuu!
 
Hiyo hata mm nimeisikia CHADEMA tumechukua meatu. mbona iringa mjini tumechukua ubunge lakin udiwani hatujachukua hata kiti kimoja
 
Jeremiah Meshack Opolukwa amekuwa lini Dr hebu acheni uzushi! Matokeo bado
 
Ni kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi. Mshindi huyo anaitwa Meshack

CHADEMA: Kura 13,850
CCM: Kura 12,824

Source: Channel 10
 
Back
Top Bottom