Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Jamani tuwe serious, is it true au ni tetesi tu?
bwaha ha ha ha.......kesho holiday confirmedJimbo la Ilemela nalo limeenda CHADEMA.
Kura HALISI:
CCM: 26,870
CHADEMA: 31,000+
safi saaaana!
Star TV hawajaogopa kutangaza bosi wao kashindwa?
Kwa mtazamo wangu Baruan Muhuza, Yahya Mohamed, James Range,ni wanamapinduzi na wazalendo wa kweli. Tatizo liko kwa Thom Chilala na Paul Mabuga, hawa jamaa wako kama vile wamelishwa Limbwata na CCM.Na huyo Baruan Muhuza aliyekuwa ananarrate kwa mbwembwe akimsifu JK kinafki kwenye kipindi cha KIKWETE 2010 akome kabisa.Kijana mdogo unakuwa na mawazo ya kikoloni !!!. AIBU