confession: Umewahi kupigwa kibuti na Mpenzi wako??..... tuambie yaliyo kukuta.....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
.......Mimi sijawahi kupigwa kibuti....

......endelea mwnzangu ili tujifunze kutoka kwako maumivu ya kibuti tupate uzoefu kidogo....
 
Kidoka, kinauma uspme! Mm hata cna mwez mpnz wng' alipadlka sana nikajarbu kumbembeleza aniambie tatzo ni nn! Akaniambia hana hisia tena na mm, nilijihc kama nme fiwa vile, roho ili niuma sana, mpaka sasa bado sijaweza kusahau najuta kupenda, some broken heart never mend
 
Tafuta mwengne
 
Bora kuwa single tu kama mimi!!!
 
Mimi nimempiga kibuti sweetlady. Sijui anajisikiaje! Kamata, tupa kule!! Hah hah hah hah!
 
Last edited by a moderator:
Mie nimeshapigwa kibuti,kwa kweli nilihisi roho ilitaka kuacha mwili!!
Nashukuru kumpata Filipo
 
Last edited by a moderator:
Weweee kibosho forget hiyo bana aah, sasa kwann usisahau mpaka leo au ulitemwa juzi, tatizo watu mna over estimate mkiwa kwa relationships zenu ndo hapo mkitemwa wengine mpaka mnaanza kuwaza suicide, kuwa mguu mmoja ndani mwngne nje, every broken heart mends take it from me ni wewe mwenyewe utavoamua, pole lkn
 
....like....
 
dah, umenikumbusha miaka ile naanza mapenzi.

Yaani, huwa nikikutana naye siku hizi kule kijijini Sitimbi, hana hamu.
 
sikumbuki kupigwa kibuti but I did. Nisamehe sana M haikua nia yangu but nilijikuta nina relationship na mwingine offcourse yeye ndio alituingilia. Nampenda ila hatuwezi tena ku- do maana nimeshaoa japo hajaolewa
 
Kibuti hakina mwenyewe jamani...kibuti ni kibuti tu,kinaumaaaa
 
cha mbavu usipime, afu nilichezea akachukuliwa jamaa wa juu yangu kielimu....wadada bana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom