Confession: Mtanzania kusomea au kuishi Kenya na kurudi Tanzania ni big step

English kwa tz bado ni tatizo sana mkuu na sababu kuu ni kwamba Jamii inaongea kiswahili, darasani huko ni kiswahili kwa sana na English kidogo, wanafunzi wakitoka class ni kiswahili mpango nzima, nimesoma shule hizo the likes of st Marys wanafunzi wanagonga A ya English kama hawana akili nzuri ila sasa ile english ya kuongea ni F, mfano mzuri nadhani ni hapo juzi tu kile kiingereza cha waziri wetu wa elimu, no doubt alikuwa top 10 ya mtihani wa taifa na kupiga A ya English lakini ulimwelewa kile kiingereza cha kuongea???, Jamii ikiongea kiingereza hata kwa kuchanganya na kiswahili utakelewa tu, samata alikuwa hajui kiingereza ila umeona alipoenda huko Belgium alikokuwa akilazimika kuongeza English, yai saizi linatema nenda kacheki interview yake ya Aston villa
Jamaa ana speak with queens accent hatarii !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom