Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Kila nachoandika hapa ni real life sio stori, hawa wenzetu hapo wana nusu ya rasilimali tulizonazo wameweza kuwa Mara mbili aisee, truth pains. Nachoweza kusema akili inapanuka kwa haraka ukiwa na shida kama walizonazo hawa wakenya, not to brug but even Israel has a small area and most of it was a desert ila cheki sasa walipo. Hata mbegu ya mkenya ilikua inaiongoza marekani kabla ya trump
Mzee wangu ni mtu wa tarime huko karibu kabisa na Kenya, kufikia mpakani kwa Kenya ni kama nusu SAA tu kwa kutembea vichochoro vya misitu, basi enzi hizo shule kwa Tanzania hapo alipoishi mzee ilikuwa mbali sana ikabidi awe anasomea kenya, alipata kujua kiingereza akiwa shule ya msingi na kukiongea fluently na masomo mengine kama hesabu alipata walimu wazuri na vitabu pia, akaja kwenda Fanya mtihani wa taifa huku tz akapita vizuri kabisa na kuchaguliwa peke yake katika shule aliyofanyia mtihani kwenda sekondari, From there onwards akasomea tz, akaajiriwa engineer,
Elimu ya msingi ya darasani na nje ya darasa aliyoipata akiwa kenya ilichangia huku awe sharp na kiingereza kumbeba sana kazini, baada ya mda akapewa umeneja maana shirika alilofanyia kazi lina vituo huko nchi zingine ambazo viongozi wali recommeand awe meneja kwa sababu ya urahisi wa mazungumzo na yupo sharp. Kwenye elimu ya nje ya darasa naona mzee ana anajua Kuinfluence watu kwa kiasi, Sijisifii ila mzee ana marafiki aisee!!! wale wanaomtafuta sana yeye kuliko anavyowatafuta, anapigiwa sana simu na kuombwa ushauri ama kamapani na viongozi wa juu kayika mkoa anaoishi, nimeshuhudia akiombwa kusuluhishi ndoa za wazito kibao tu,
Mwegine ni Huyu kijana anaitwa ontario, kijana akiwa na 23 alikuwa tayari na 100,000 USD, alisomea huko Kenya elimu ya msingi nadhani na sekondari akaja kumalizia huku sekondari, ni kijana mdogo sana ola mambo anayofanya si kitoto, kafanya mengi ola kubwa alilofanya ni kuleta mwamko Tanzania wa kyijua biashara ya forex, nakumbuka enzi hizo anaenda mkoa hadi mkoa kufundisha forex kwa siku 3 watu wanakua kama 250 ukumbini na kila mtu kulipia laki 2, na hapo walitaka waanze trading dogo anahamasisha wanafunzi wa trade kwa broker wake ambako alikua na gawio kidogo kwa kila kichwa, sadly wengi wakaanza mzushia ni tapeli, mwizi na bla bla kibao, the kid is smart, kamcheki huko insta sirjeff Dennis,
So that is my confession and I hope its not an abomination to my fellow Tanzanians, Nadhani huko Kenya kinatanua akili kidogo hata kiingereza kinakuongezea points huku tz ambako nibkawaida kukuta hata ministers wa educatoon hawakijui vizuri, No bad feelings guys.