Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

Hawezi kuwithdraw
Kwanza kwa mwanaume yeyote yule ni ngumu sana kuwithdraw, na kama wapo wenye ujasiri huo ni wachache saana!! Kuwithdraw ni sawa na mtu akulishe keki alafu akwambie utafune tu kisha uiteme badala ya kuimeza.

Kingine hiyo sio njia salama hata kidogo ya kuzuia mimba labda kama anaishia goli moja tu ambalo nalo analipigia nje.
 
madhara nayojua ynaletwa na contraceptive pills baada ya kutumia kwa muda mrefu ni kuleta cervical cancer...it's better utumie condom
 
Hapana kuwithdraw ni njia salama kabisa trust me! Hata upige goli kumi maana ukisha kojoa kunawakati unakuwa unasubitia game nyingine ikiwa na maana mwishowe utakuwa huna sperm hata tone kwenye dick yako na unaweza rudia tena na tena!! Ila siyo ukojoe nje then uingize tena uume hapo mimba inatungwa kwa maana kuna chembe za sperm huwa zinaendelea kutoka baada ya kupizi fanya uchunguzi simple tu!!! Jamani haya mambo tusiyaweke magumu kihivyo
 
Kuwithdraw ni salama kama utafanya kama inavyotakiwa

Baada ya kumwaga nje unapaswa uende choon ukakojoe baada ya kukojoa ufute uume wako vizur kabisa kwa kitambaa chenye maji au uoshe uume wako then kunywa maji kama lita moja kaa dk 5 endelea na kazi yako

Sasa wengine huwa wanashangaa mbona nilimwaga nje lakn nimesababisha mimba kumbe alipo mwaga alitulia kidogo kisha kuendelea unapo endelea kuna sperm zipo njian ile in and out movement sperm hizo hutoka ila ukienda kukojoa unasafisha ile urethra ambayo ni njia inamopita sperm

Asanten
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom