Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
yote hiyo ni kwa sababu binaadamu anajifanya mtaalam kumzidi muumba.madhara inategemea na mwili wa mtu, mimi sindano zilinifanya nikae bila kublee for 5 yrs coz nilikuwa sitaki kuzaa nikaona poa, nilipozaa last born 03 nikaamua kufunga kizazi ila kwa sasa kiuno kinanisumbua mno.