Condom za kike

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
hivi kweli kuna ladha yoyote inapatikana mwanamke anapovaa condom mie sijaona utamu wowote bali ni kama nimevaa sox oversize au wanajamii munaonaje hapo
Conquest
 
...kwakuwa ni mkeo stahmili, au wewe vaa ya kiume.
Lengo linabakia starehe 'kiduchu' huku mkijihadhari na uzazi usio na mpangilio, au sio bro?
 
utajiri wetu ni watoto sio kingine ila naona ukivaa condom utamu unasusua
conquest
 
...ndio maana nikasema 'lengo' la kuvaa kinga lizingatiwe kwanza kabla ya huo utamu unaosua sua...

Bei ya condom 'inayotosha' si kubwa kama gharama za Diapers au 'nepi' :)
 
utajiri wetu ni watoto sio kingine ila naona ukivaa condom utamu unasusua
conquest
Hivyo vitu mara nyingi hutumika na watu wanaotembea nje ya ndoa zao! Kame umeoa/kuolewa condom ya nini?
 
ni moja ya uzazi wa mpango, sio kama umeoa/umeolewa ndio usitumie condom...
 
...kwakuwa ni mkeo stahmili, au wewe vaa ya kiume.
Lengo linabakia starehe 'kiduchu' huku mkijihadhari na uzazi usio na mpangilio, au sio bro?

sasa mbona kuna njia nyingi... lakini hii naona sio very convenient...

I dont know
 
Back
Top Bottom