Condom ni muhimu mno Itumike.!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,651
Katika pitapita zangu nimekuta watu wengi waki discourage Matumizi ya condom yaani they say its useless na wala haisaidii katika protection ya Maradhi.

Wanasema zingine Huja hata zikiwa na viini vya Magonjwa Vimepandikizwa Mle, basi wakaenda mbali zaidi wakidai condom haizuii Ukimwi yaani VVU.

Nilijikuta nawaonea Huruma sana Maana Nikikumbuka Miaka Kadhaa ilopita Niliwahi kupita na wanawake kama wa 3 ambao baadae nilijua kwamba ni confirmed positive bahati nzuri nilitumia kinga na kila nikikumbuka sichukulii Picha Ningecheza Peku yaani ungekuta ndo habari yangu imeisha.

MY TAKE: Ndugu zangu Japo Hatujawahi kuonana ila Naamini Ninyi ni binadamu kama wengine, Jamani chonde chonde tumieni condom inasaidia sana, msipotoshwe na nyuzi za hapa JF zinazodiscourage matumizi ya Kinga...wengine wameenda Mbali wakidai hazisaidii.
Kaka yenu nawashauri tenaa UKIMWI upo na Condom inazuia, Tafadhali tumieni.
Never Sex without Condom na MwanamkeMwanaume ambae Hujui Status yake.

Wakusikia na Asikie!
 
Mm kusema kweli siwezi na sijawahi kutumia na sitotumia.


Naamini mungu ataendelea kunilinda
 
Kondomu ya nini!? Hata nishikiwe bunduki kondomu kwangu hapana, ni nyama kwa nyama!!
 
Inahitaji kuwa Chizi ili usifie kuoga huku umevaa nilon kwa kuwa Yale Maji huenda yana infection, sasa si bora usioge
 
Umesikika mkuu, ila daah kama wadada wengi hawapendi hizo mifuko
 
kaugonjwa haka kamekaa sehemu mbaya sana, hapaepukiki, kwa mwanamke au mwanaume ile sehemu lazma iguswe..muda mwingine ndom ni sawa na kuchimba kishimo chini alafu utumbukize adabu zako pale, haina ladha kabisa..kwanza wengine ndom hazitutoshi, ndogo zinapasuka
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom