Condester Sichalwe anafaa kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Nimesoma CV ya huyu dada nimeona kuwa amewahi kuwa IT consultant wa UN Arusha na Wa AICC. Pia niliona akitoa mchango kuhusu Cryptocurrency na amewahi kuwa koch wa Cryptocurrency.

Pia an akili ya kijasiriamali maana amewahi kuwa manger wa forever living products(japo siwakubali FLP).

Huyu mtu ameonyesha anaelewa dunia inakokwenda, atafaa sana kwenye wizara ya teknolojia ya habari na kuzalish ajira huko. Badala ya kumpa ile wizara Daktari Ndugulile apewe huyu sister ambaye ana ABC huko.
 
Back
Top Bottom