Mara tu baada ya awamu ya 5 kuingia madarakani, ilianza kuwatumbua watumishi wa serikali ambao wamekiuka taratibu za kazi ama kinyume na maadili.
Kasi ya utumbuaji ilikuwa kali Sana. Kasi hii ndiyo iliyomtoa comrade Membe mafichoni na kutoa maoni yake juu ya utumbuaji huo. Bernard Membe alisema "rais anawatumbua kwa kasi sana kwasabb hakuwateua yeye".
Mengi yalisemwa kuhusu kauli hiyo hasa wale wa upande wa lumumba. Lkn sasa tunaona kigugumjzi alicho nacho jpm ktk utumbuaji.
Hadi sasa rais jpm amewatumbua wawili to kati ya wengi aliyowateua:-Anna kilango na kitwanga. Lkn sote tunajua Anna kilango amerudishwa. Na sasa kuna huyu bashite, watu wanasema na wanaandika kilakona. Jpm kafunga macho na kaziba masikio.
Kweli membe alisema kweli