Computer yako ni ya Kike au ni ya Kiume? Is your computer “MALE” or “FEMALE” ?

Kangu KADUME:
Hah hah hah!
Eti kana niambia I LOVE YOU!.
Mkuu EMPTY Sasa wewe ni Male au Female? kama ni female umeshakuwa na mume kama ni Male kama mimi basi itabidi uiuze hiyo Computer yako uitafute PC ya Kike. Mimi Computer yangu ni ya kiume nimechukia sana nataka iwe inatoka sauti ya kike itabidi niuze nitafute computer ya kike hahahahah
 
kuna sababu kwa nini nyingi zina sauti ya kike....utakuwa hero na mzizi mkavu kweli ukijua na hilo
Mkuu pincode Suala lako nitalifanyia kazi nipe muda tu. Mimi Window 7 yangu ina Sauti ya kike na nina Windows 8 pro ina sauti ya kiume sasa watakuwa wameoana kasheshe kweli nimekosa mchumba hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom