Wana-ICT popte pale mlipo:
Nina swali ambalo nahitaji kufahamishwa. Mimi nina computer ambayo iko kwenye network almost 24/7. Swali langu ni kwamba je nitafahamuje kwamba kuna mtu (Intruder) ana-access computter yangu na anaiba data kutoka kwenye computer yangu? Ni viashiria gani vitakavyonionyesha kwamba something is wrong on my computer.
Swali hili ni muhimu sana kwa watumiaji wote wa computer kwenye network. Naomba msaada hapa wa kiteknolojia.