mmmh shghuli hii
Inawezekana hiyo computer ni aina flan ya shoe polish, sisi tunabaki kushangaa tu hapa. Ukienda bar zinazotengeneza cocktail drinks, kuna cocktail inaitwa Screw driver.
ndio maana ameandika politiki,maana so kweli.mmmh shghuli hii
Ni kweli. Kuna cocktail inaitwa screw driver. Ukikurupuka utadhani ni hii
Ni kweli. Kuna cocktail inaitwa screw driver. Ukikurupuka utadhani ni hii
.Hebu tuwekee picha ya hiyo SCREWDRIVER wanayomaanisha kama COCKTAIL...