Computer i7 inapigwa bado na i5!

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
Nina Pc Lenovo i7, yenye Graphics Card ya 4 GB na Acer i5 yenye GB 2 za graphics Card ila nimebaki nashangaa nikaona ngoja niwacheck wataaamu wanisaidie.

Kifupi Preject ambayo nairender kwa masaa mawili huku kwenye i7, kwenye hii i5 Natumia dk 5! nimebaki nashangaa na kujuliza tatizo liko wapi kwenye hii i7!
 
Hallo umenistua ebu niweke sawa kama hutajali.
Software unayotumia kurender
RAM ?
Graphics card aina gani
Urefu wa timeline
Na je ni 1920x1080 ?

Nauliza sababu dak 5 sio kawaida
 
Natumia Window 10,
Adobe Media Encoder kwa After Effect na Premiere
Graphics card Ni Intel(R) HD Graphic 4600
Yah, Narender 1920x1080 Muda wote
Naweza Render Hadi 20 Minutes (timeline) kwa DK 15 hadi 20
 
Thanks man Graphics card hiyo ni ya kuongeza ama imekuja nayo na Ram unapendekeza ngapi ? Umesahau taja hapo
 
fanya system rating kwa PC zote 2 then angalia matokeo

nenda Control Panel > System and Security >System

select Windows Experience Index, then run assessment, tulia italeta majibu

then angalia nani ana Index kubwa ( au chukua wastan wa indices zote)

Iyo assessment inachambua overall performance ya PC kwa vipengele ivi:

a.Overall calculations per seconds ( CPU )

b. Memory operations per second ( RAM)

c. Graphics (General Purpose performance)

d. Gaming Graphics (3D/Games)

e . disk data transfer rate ( read/write) ( HDD/SSD )

kitu kama ichi

Capture22.PNG
 
Inaweza kuwa i7 lakini ikawa ni generation ya zamani kuliko hiyo ya i5, halafu je hizo zote ni desktop au laptops?

Sent from my Siemens c55
 
fanya system rating kwa PC zote 2 then angalia matokeo

nenda Control Panel > System and Security >System

select Windows Experience Index, then run assessment, tulia italeta majibu

then angalia nani ana Index kubwa ( au chukua wastan wa indices zote)

Iyo assessment inachambua overall performance ya PC kwa vipengele ivi:

a.Overall calculations per seconds ( CPU )

b. Memory operations per second ( RAM)

c. Graphics (General Purpose performance)

d. Gaming Graphics (3D/Games)

e . disk data transfer rate ( read/write) ( HDD/SSD )

kitu kama ichi

View attachment 1349340
1.PNG
 
Attachments

  • gg.PNG
    gg.PNG
    37.5 KB · Views: 3

ivi kwa Graphics Card za Nvidia Ni Nvidia Gani Nzuri kwa Kazi kama za Photoshop/Creative Clouds
 
1. Hio ni xeon na sio i7

2. Hio xeon ni ya mwaka 2009 enzi za core 2 duo, hivyo core zake ni dhaifu compare na i5 ya gen ya 4 iliotoka 2013

3. Xeon hazina integrated graphics wakati intergrated graphics ya hio i5 ina quicksync, kutegemea na software quicksync inaweza punguza render time kwa kiasi kikubwa.
 
fanya system rating kwa PC zote 2 then angalia matokeo

nenda Control Panel > System and Security >System

select Windows Experience Index, then run assessment, tulia italeta majibu

then angalia nani ana Index kubwa ( au chukua wastan wa indices zote)

Iyo assessment inachambua overall performance ya PC kwa vipengele ivi:

a.Overall calculations per seconds ( CPU )

b. Memory operations per second ( RAM)

c. Graphics (General Purpose performance)

d. Gaming Graphics (3D/Games)

e . disk data transfer rate ( read/write) ( HDD/SSD )

kitu kama ichi

View attachment 1349340
Windows 10 haina WEI, labda kwa third party apps.
 
1. Hio ni xeon na sio i7

2. Hio xeon ni ya mwaka 2009 enzi za core 2 duo, hivyo core zake ni dhaifu compare na i5 ya gen ya 4 iliotoka 2013

3. Xeon hazina integrated graphics wakati intergrated graphics ya hio i5 ina quicksync, kutegemea na software quicksync inaweza punguza render time kwa kiasi kikubwa.
Hata mie nimeshangaa kwa nini alisema ni core i7
 
Windows 10 haina WEI, labda kwa third party apps.
Hata win 8.1.
Nimejiongeza. Nimetype

Kwenye Cmd

Winsat formal -resart

Ikatembea kitambo halafu lile file la notepad fungualia kwenye Chrome au explorer.
File lake utalipata folder ya windows subfolder peformance angalia tarehe kupata faili la mida hiyo

Maandishi kibao ukiwa makini utaiona.
 
Hata win 8.1.
Nimejiongeza. Nimetype

Kwenye Cmd

Winsat formal -resart

Ikatembea kitambo halafu lile file la notepad fungualia kwenye Chrome au explorer.
File lake utalipata folder ya windows subfolder peformance angalia tarehe kupaya fail la mida hiyo

Maandishi kibao ukiwa makini utaiona.
Ooh okay. Ngoja niifanyie kazi.
 
Back
Top Bottom