Computer Experties kwa hapa Bongo!


MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
98
Likes
3
Points
15
MtuMmoja

MtuMmoja

Member
Joined Aug 30, 2011
98 3 15
Kwa Muhitimu wa degree ya Computer Science na Computer Engineering ,kwa serikalini mshahara wake ni kiasi gani au una range ipi!!I mean umeajiriwa kama Network Administrator,System Analyst au Programmer,na kwa private company salary ikoje,naomba mwanga kidogo katika hili.<br>Wapi ni bora serikalini au private sector katika kuendelea kupata Knowledge zaidi!!<br>Just Give me Reasons!
 

Forum statistics

Threads 1,238,839
Members 476,196
Posts 29,333,465