Computer Experties kwa hapa Bongo!

MtuMmoja

Member
Aug 30, 2011
77
13
Kwa Muhitimu wa degree ya Computer Science na Computer Engineering ,kwa serikalini mshahara wake ni kiasi gani au una range ipi!!I mean umeajiriwa kama Network Administrator,System Analyst au Programmer,na kwa private company salary ikoje,naomba mwanga kidogo katika hili.
Wapi ni bora serikalini au private sector katika kuendelea kupata Knowledge zaidi!!
Just Give me Reasons!
 
Kaka serikalini kuna range zake, Mashirika yana kiwango chake na private companies yana viwango vyake...Hapo inakuwa ngumu kupredict..ila kwa serikali inaanzia laki 3 na 80.
 
Acha utani asee!!!!laki tatu imekuwa ualimu!!!!!!c certificate hiyo baba!!!
 
Usitishike kote kuna maslai ila kwa ushauri nenda serikalini ndo utafaidika achana na mambo ya mkataba ila kwa serikali ukiingia vizuri ndugu umeula tena sana
 
Acha utani asee!!!!laki tatu imekuwa ualimu!!!!!!c certificate hiyo baba!!!

kwani uliambiwaa ukisoma computer science utalipwa mshahara sh milioni ngapi? kuwa na Bsc in computer Science doesn't make you an IT expert ukitaka mshahara mkubwa fanya professional certification pia kama CNA, MCSE, MCDA etc
 
Kaka serikalini kuna range zake, Mashirika yana kiwango chake na private companies yana viwango vyake...Hapo inakuwa ngumu kupredict..ila kwa serikali inaanzia laki 3 na 80.
<br />
<br />
kumbe imepanda,kipind kile ilikuaga laki 2 na 80.??
 
Siamini wadau mnachosema!!!Dah Kwa hiyo programming nnayokesha nayo haitonisaidia!!!mungu wangu!!!!,laki tatu!!!! ni bora nikapige tempo la kufundisha!!!!!Programming kumbe haina dili kabisa!!!!!!!!!!UWWIIIII!
 
kwa bongo co ishu,ka vp ibuka kwa obama mkuu.
 
Siamini wadau mnachosema!!!Dah Kwa hiyo programming nnayokesha nayo haitonisaidia!!!mungu wangu!!!!,laki tatu!!!! ni bora nikapige tempo la kufundisha!!!!!Programming kumbe haina dili kabisa!!!!!!!!!!UWWIIIII!

Mashirika na sector binafsi zinalipa vizuri... serikalini nikuzuri kwa sababu ya job security ila kwa mshahara inategemea na ofisi ndugu yangu...kama vp kuwa independent inalipa zaidi!!!
 
mbona unawaza kuajiriwa tu,unajiingiza utumwani mbona hiyo fani bomba sana,tafuta za individual consultants au part time huku unajijenga ili siku moja na we uwaajiri wengine hakuna raha kama hiyo
 
mbona unawaza kuajiriwa tu,unajiingiza utumwani mbona hiyo fani bomba sana,tafuta za individual consultants au part time huku unajijenga ili siku moja na we uwaajiri wengine hakuna raha kama hiyo

kaka mindo naingia mwaka wa pili na hii fani! naweza pata tempo wakati nko chuo!
 
Komaa na hiyo programming and dont ever give up,utaona tu malipo yake baadaye, na code na language ambazo ziko chat kama vile Java,c#,.net ,C++,php and so on. You will never regret it later bro!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom