Computer Engineer na Eletrical Technician natafuta kazi

Sasa ushasema Mimi Muongo nakuoneshaje sasa project nilizofanya? Muongo maana hana project yoyote aliyofanya! So mm muongo sina project ya kukuonesha! I hope you are happy now

Kumbe you are empty to your head!! Subiri ajira hapo nyumbani kwa shemeji yako,kilikuwa kitu simple tu unaweka links za kazi ambazo umewahi fanya ili uweze kumconvice mtu aweze kukuamini na kukupa kazi kama ipo then unaleta porojo.
 
Kijana unafeli wapi?
Jamaa anataka uweke proof na evidence za kazi zako wewe unaleta porojo.
Eti unadai kama yuko serious akuite ofisini akupe kazi ukishindwa ndio akuseme,sasa ukishindwa kazini huoni atakuwa ameshapoteza muda wake na resources?Halafu mwisho wa siku utamletea porojo kama hizi,kuwa mbunifu.
Wewe kama una Nia ya kunisaidia nipe kazi nishindwe kuifanya ndo uje hapa useme jamani yule anyeomba kazi ni Muongo! Hapo itakuwa sawa na sitapinga ila unakuja tu una assumption zako
 
Kijana unafeli wapi?
Jamaa anataka uweke proof na evidence za kazi zako wewe unaleta porojo.
Eti unadai kama yuko serious akuite ofisini akupe kazi ukishindwa ndio akuseme,sasa ukishindwa kazini huoni atakuwa ameshapoteza muda wake na resources?Halafu mwisho wa siku utamletea porojo kama hizi,kuwa mbunifu.
Huyo jamaa anazingua achana nae! Amekuja kishari shari na mimi nimejibu hivyo hvyo kishari shari! Mimi ukishakuja kwa kunisema ni Muongo nakuacha uamini hivyo hivyo sibishani na wewe! Ila ukija kwa Nia njema mbona simple tu si links tu nakupa unajionea mwenyewe ila unakuja kwa kusema mimi muongo Haya nimekubali mimi Muongo bado amepanick anaendelea Kubweka bweka tu ooh sijui unakaa kwa shemeji
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina Degree ya Computer Engineering pia nina Diploma ya Electrical and Electronics Engineering nina Ujuzi wa kutengeneza Systems na Softwares, Graphics design (vipeperushi, matangazo, vitambulisho na mabango) kwa upande wa Umeme nafanya Wiring, na repair vifaa vya umeme kama feni, taa, majenereta n.k

Hivyo basi nisiwachoshe Wakuu naombeni ajira kulingana na vigezo hivyo hapo juu! Nipo Dar es Salaam ila nipo huru kufanya kazi mahali popote Tanzania hii hata nje ya nchi ikibidi nipo tayari! CV na Vyeti vyote vipo nipo available 24hrs

Mawasiliano: 0654911211

NB: Nafanya kazi yoyote ile Halali inayoweza kuniingizia kipato! Kwahyo kama Una fursa nyingine usisite kunipatia usije ukasema Huyu ana Elimu kubwa hawezi kufanya shughuli hii, Hapana Nafanya shughuli yoyote coz Nguvu ninazo, Nia ninayo, Afya njema ninayo!
ubalozi wa Marekani walitoa ajira, tena walikua wanahitaji IT na mtu wa umeme
angalia hapa kama bado zipo

The U.S. Embassy in Dar es Salaam
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana mwenye miaka 26 nina Degree ya Computer Engineering pia nina Diploma ya Electrical and Electronics Engineering nina Ujuzi wa kutengeneza Systems na Softwares, Graphics design (vipeperushi, matangazo, vitambulisho na mabango) kwa upande wa Umeme nafanya Wiring, na repair vifaa vya umeme kama feni, taa, majenereta n.k

Hivyo basi nisiwachoshe Wakuu naombeni ajira kulingana na vigezo hivyo hapo juu! Nipo Dar es Salaam ila nipo huru kufanya kazi mahali popote Tanzania hii hata nje ya nchi ikibidi nipo tayari! CV na Vyeti vyote vipo nipo available 24hrs

Mawasiliano: 0654911211

NB: Nafanya kazi yoyote ile Halali inayoweza kuniingizia kipato! Kwahyo kama Una fursa nyingine usisite kunipatia usije ukasema Huyu ana Elimu kubwa hawezi kufanya shughuli hii, Hapana Nafanya shughuli yoyote coz Nguvu ninazo, Nia ninayo, Afya njema ninayo!
Tunahitaji mtu wa kufanya kazi za electronics na kufundisha pia.
Tupo Moshi ,Kilimanjaro
kama una interest tuwasiliane --0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom