Computer and maths teacher available

Mzungupori

Member
May 20, 2016
34
19
Natafuta shule au chuo nifundishe computer n mathematics mkoa wowote, now nipo dar, mimi ni graduate wa bachelor ya computer science. Kwa maelezo zaidi nipm plz. Asante.
 
Back
Top Bottom