Jimido
Member
- Dec 16, 2018
- 23
- 7
Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m
Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia anafanfiwa tracking asipatikane kwa kutumia google map?
Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia anafanfiwa tracking asipatikane kwa kutumia google map?