franknombo
Senior Member
- Mar 30, 2019
- 170
- 160
Wakuu napenda kufahamu vitu vifuatavyo computer32- bit operating system na 64- bit operating system computer ikiwa na hzo bit Ina maana gan? Je hzo bit znautofauti gn na IP ni bora kuliko nyngne
Wakuu napenda kufahamu vitu vifuatavyo computer32- bit operating system na 64- bit operating system computer ikiwa na hzo bit Ina maana gan? Je hzo bit znautofauti gn na IP ni bora kuliko nyngne
Je inawezekana kubadili 32bits ikawa 64bitschukua hii...
computer yenye 32 OS, Haiwezi kutambua RAM zaidi ya 4GB. wala Hard disk zaidi ya 2TB.
kama computer ina RAM 8GB na Hard disk 4TB basi lazima iwekwe 64bit Windows . Kinyume na hapo itatumia 4GB Ram pekee na 2TB Hdd pekee ndio itaonekana.
Je inawezekana kubadili 32bits ikawa 64bits
Kuitambua Pc kama Inatumia 32 bit au 64 bit Fanya Hivi Bofya Icon ya Computer au THIS PC kwenye Desktop kisha Right click ui Property utaona Maelekezo Yote yamewekwa Wazi....Je nawezaje kutambua PC yenye 32Bit au 64Bit.
Na je PC 32Bit naweza kuweka OS yenye 64Bit na ikafanya kazi vizuri?
Je inawezekana kubadili 32bits ikawa 64bits
Me najua majibu yalisha tolewa hapo mwanzo.Je inawezekana kubadili 32bits ikawa 64bits
Sio katika search bali ni katika RUN window (Win + R)...hii ni kwa tarakishi za windows pekeeSasa fanya hivi nenda upande wa search engine andika neno dxdiag. Kisha utaona sifa zoote za pc yako ila ukikuta x86 bas ujue pc yako ni 32bit tu
ATENTION: kila ki tu hapa duniani kina mashaliti yake na talatibu zake.
Naona imeandika window 7 ultimate 32bits(6.1, build 7600) sijaelewa sasa.Sio katika search bali ni katika RUN window (Win + R)...hii ni kwa tarakishi za windows pekee
Kwahiyo ishu ni Ram tu au sio. Na jinsi ya kuchange nimeona kuna mdau amesema ni kuweka tu OS yenye 64bits baasii au ..Kuitambua Pc kama Inatumia 32 bit au 64 bit Fanya Hivi Bofya Icon ya Computer au THIS PC kwenye Desktop kisha Right click ui Property utaona Maelekezo Yote yamewekwa Wazi....
Hizi Bits Zinawezekana Kubadilishwa Ila Ukitaka Kuzifaidi vizuri hakikisha kabla Hujabadili je Pc yako inakigezo cha Kupokea hio Bit unayotaka Kuweka..
Ukitaka Kuweka 32bit Hakikisha Ram unayo 4GB kushuka Chini na Ukitaka Kuweka 64 bit Hakikisha RAM 4GB kwenda Juu...
Pia 64bit Inaingia Kwenye 2GB Ram ila Mziki wake utaupenda itakusumbua tu ni Vizuri Ukafata Mahitaji husika.
NB: KAMA UNA RAM 4GB Hizi Bits Zote Mbili Zina Run Vizuri Bila Shida kabisa (nina Experience).
Yah ndo hivyo mkuu.Me najua majibu yalisha tolewa hapo mwanzo.
Ila kitu ambacho unahitaji sasa hivi ni kujua Kama pc yako je ina uwezo wa kutoa 32bit na kuweka 64bit.
Nahisi ndio hivyo
Mkuu heshima yako, nina swali moja kwako.tuanzie mbali kidogo
computer ina parts kuu 3
a. CPU ( processor )
b. Memory (RAM/ROM/REGISTERS/CACHE,etc)
c. Input Output I (I/O - display monitor, keyboard, mouse, etc)
vipengele 'b' na 'c' hapo juu huungwa na CPU kwa mfumo wa 'bus', bus ni ule waya aka cable aka ribbon cable
mf; cable kutoka kwa HDD kwenda kwa CPU iite 'bus', na mfumo wote wa bus ndani ya computer inatengeneza 'system bus'
izi bus zimegawanyika katika njia 3
A. DATA BUS - hizi hubeba taarifa kutoka sehem moja kwenda nyingine, mf: kutoka kwa CPU kwenda kwa display, au kutoka kwa keyboard kwenda kwa CPU,etc
chukulia kama bomba la kupitisha maji, bomba la diameter kubwa hupitisha maji megi zaidi kwa MPIGO
so data bus yenye BIT WIDTH kubwa zaidi hupitisha kiasi cha data kikubwa zaidi
na size ya data bus (BIT WIDTH) ndio ina rate bit width ya processor , ndio izo 32 bit width( 32 bit), 64 bit, kuna za 8 bit mf: processor za AVR, ARM ndogo, kuna za 16 bit mf: PIC,
baadhi ya watengenezaji wa 8 bit ni hawa hapa
8-bit computing - Wikipedia
en.wikipedia.org
B. ADDRESS BUS - hizi hubeba anuani, ili CPU ijue data hii iende wapi au imetoka wapi
nazo zinakua rated kwa BIT WIDTH, kwa hapa width ikiwa kubwa ndivyo 'addressee' wanakua wengi zaidi
ni sawa na guest house yenye vyumba vingi ndivyo zile namba za vyumba zinazidi kua juu mf: chumba no. 330
C. CONTROL BUS - hizi hubeba taarifa (inaamuru) za nani alale nani awe active kwa mda upi, pia husoma taarifa za nani kalala nani yuko active
mf: diplay inapo lala (sleep) inapokea command ya '0' kupitia katika control bus kutoka kwa CPU, iapoamka inapoke command ya '1'
hii pia inakua rated kwa BIT WIDTH, width inapokua kubwa ndio CPU huweza kutuma 'control command' kwa members wengi zaidi kwa MPIGO ( in parallel mode' )
so unaweza kuta computer ina '64 bit of data bus, 16 bit of address bus and 8 bit of control bus', ina kinachoangaliwa ni bit width ya DATA BUS pekeee
unapoweka OS lazima OS iendane na bit width ya computer yako ( bit width ya data bus)
mf: una computer ya 64 bit, inabidi uweke OS ya 64 bit
ukiweka OS ya 32 bit kwa computer ya 64 bit processor, then data bus system zako zote zinakua 'impaired' na ku operate at 32 bit
najibu swali lako sasa: yenye bits kubwa husafirisha taarifa kwa haraka na husapoti RAM kubwa zaidi
64 bit system ina sapport RAM mpaka 2^64 - 1 ambayo sawa na GB nyingi ivi
32 bit system ina support RAM mpaka 2^32 -1 ambayo sawa na 4GB
zaidi tembelea
Maximum addressable memory under the current operating systems
Basically, for the usage of 4GB or more memory a 64-bit operating system is mandatory. Our table provides an overview of maximum addressable memory under the current operating systems.www.compuram.de