Royal Bakery Chapati zenu siku hizi haziivi ila mnaziunguza

Atlantis Voyager

JF-Expert Member
Jan 19, 2018
367
500
Naamini hapa mkurugenzi ataupata ujumbe sawia. Takribani miezi 2 sasa nimekuwa mnunuaji mzuri wa Chapati pale Royal Bakery kawe mlalakua. Chapati nadhani sasa hazipikwi vizuri. Bali zinaunguzwa na kufanya ladha tofauti.

Precisely toka chapati zianze kukaangiwa nje kumekuwa na kushuka kwa kiwango cha upishi,

Naomba wahusika mjitafakari pia suala la mchanga kwenye chapati. Tunafuarahia huduma zenu lakini kwenye dosari mjirekebishe
 
Kama wewe mteja wao wa siku nyingi umekosa uthubutu wa kuwaambia mubashara je sie ambao hata kufika hatujawahi, tutaweza kweli?

Hii ndio sura halisi ya mtanzania, mwepesi kuongea pembeni (kusengenya) kuliko kumface mtu na kumueleza duku duku lake.
 
Back
Top Bottom