Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

.
1360567_Magufuli.jpg


Jr
 
Wakuu, watu wa zamani maarufu kama 'wahenga' ni watu ambao walikuwa na vimisemo vya hovyo kabisa vilivyoturoga na kutusababishia umaskini mkubwa sana. Tafsiri nzuri ya maneno yao ya mafumbo haikuwa wazi, kila mtu anatafsiri kivyake.

Ni ajabu sana mtu mzima na akili zake kuamini maneno ya wahenga. Karne hii ya kuamini hayo mafumbo ya hovyo miaka mia 2 iliyopita.

"Mgagaa na upwa hali wali mkavu,asiye na mwana aeleke jiwe,zimwi likujualo halikuli likakwisha". Maneno ya ajabu kabisa haya.View attachment 545396View attachment 545397View attachment 545398View attachment 545399View attachment 545400View attachment 545401View attachment 545402View attachment 545403View attachment 545404View attachment 545405View attachment 545406
Tumetoka mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom