competent english language teacher | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

competent english language teacher

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Al shabab, Jun 12, 2011.

 1. Al shabab

  Al shabab Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina BA.ED
  Natafuta shule ya private nikafundishe.nafundisha english language na english literature.
   
 2. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hongera sana kaka, tatizo hujasema uko wapi, hata hivyo we peleka maombi ya kazi shule yoyote iliyo karibu nawe utapata kazi.

  Au fungua kijiwe chako mwenyewe, fundisha QT, wanao re-sit, O and A level utamake zaidi.
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  NAOMBA TUWASILIANE KWA EMAIL MAANA NATAFUTA PART -TIME MWALIMU NA NIMETOA TANGAZO LANGU LEO HII TU
  MY EMAIL: ak_abduel@yahoo.com
  NAOMBA TUWASILIANE TAFADHALI JAPO UNATAFUTA PERMANENT EMPLOYEMENT, UTAPATA MTEGEMEE MUNGU MAHALI PAKO PAPO....:sleepy:
   
Loading...