Comparisons of computers available in DAR or out of Dar

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
Ok mimi nimetaka kujua tu nani mwenye system zaidi yangu hapa Dar es Salaam?
My pc is
Intel QuadCore Q6600 3.0GHZ
4.0GB of ram
750GB HDD
Nvidia 260GTX 216 cores AMP2! Edition
Benq E900W Flat Screen 19 Inch
Any rival?
 
Khalid,

That is alot of power you have man. I hope its not wasted in watching movies and playing games. Or at least do some games development, multimedia productions or a testing server so some complex mathematical modeling.

But in general, you good man.
 
Ziko zaidi ya hiyo hiyo yako ni assembled kwahiyo huwezi kufananisha ingekuwa ni brand kama dell au hp acer then unaweza kufanya mchezo kama huo
 
yehh man yeh mimi ninashinda man Tanzania nzima hell yeh !!so no body can rival me?nilijua tu there is no gamer in Tanzania like me man am an software enthusiasist and Hardcore gamer man!!
 
if anyguy thinks am just lying and wants some proof then i can take a pic of man pc and show you proof!
 
Give me proof SHY who owns a PC in Tanzania more than me?i usually use it for general usage!
 
Give me proof SHY who owns a PC in Tanzania more than me?i usually use it for general usage!

Mine is,

Mac book pro 17 inch made from alminium block, 8Gb ram,
3.2 Ghz dual core
1 tera byte, Nvida 9400
On Battery u can use up to 10hours.
 
Mine is,

Mac book pro 17 inch made from alminium block, 8Gb ram,
3.2 Ghz dual core
1 tera byte, Nvida 9400
On Battery u can use up to 10hours.

Teh teh teh teh.....ThinkPad...itakuwa keyboard yake ndio hiyo kwenye avatar...ila hiyo ni noma....Mkuu Juu....ninayo tumia kwa sasa...hapa kwa office...it the same like yours....Loaded with 5 software each one take about 4gb space...only this can tell you....
 
Sasa kila mtu anakuja na yake hapa sasa mimi natumia Super Computer ambazo nilitoka nazo Nasa America
 
oyaa show me some proof take a pic of your mac book !!!! but anyways even if your mac book has that ram it still doesnt reach the performance of My PC man so you loose!!!!! heheeeeeee if you think am lying then post your 3dmark benchmark scores and u will see that i still lead! more rivals please..
 
teh, teh teh, mimi natumia Dell Pentium II, 360Mhz, 128mb Ram, 10gb hdd, 19'' Acer Flat Screen nahisi ipo poa sana
 
Mine is,

Mac book pro 17 inch made from alminium block, 8Gb ram,
3.2 Ghz dual core
1 tera byte, Nvida 9400
On Battery u can use up to 10hours.
i think u can fool me right i have checked on the net and there is no mac book pro of 8 gb of ram and until today there is no any mac book released with 3.2ghz CPU!! ur such a liar! and Nvidia 9400M sucks man and even laptops like these will never reach my pcs performance.so you guys loose?
 
Ok mimi nimetaka kujua tu nani mwenye system zaidi yangu hapa Dar es Salaam?
My pc is
Intel QuadCore Q6600 3.0GHZ
4.0GB of ram
750GB HDD
Nvidia 260GTX 216 cores AMP2! Edition
Benq E900W Flat Screen 19 Inch
Any rival?

Hicho cha mtoto, m-PM juaKali akuonyeshe madude. Jamaa anatisha niliingia maskani kwake ana dude jipyaaaa. Alienware. Nafikiri process yake ina uwezo kununua system yako mzima! "Intel Core i7 975 Extreme 3.6 GHz) na video card HD 5870 ATI Eyefinity. RAM 24GB.
 
Teh teh teh teh.....ThinkPad...itakuwa keyboard yake ndio hiyo kwenye avatar...ila hiyo ni noma....Mkuu Juu....ninayo tumia kwa sasa...hapa kwa office...it the same like yours....Loaded with 5 software each one take about 4gb space...only this can tell you....

With it`s two OS Mac X and XP I do every thing, its very powerfull machine.
 
i think u can fool me right i have checked on the net and there is no mac book pro of 8 gb of ram and until today there is no any mac book released with 3.2ghz CPU!! ur such a liar! and Nvidia 9400M sucks man and even laptops like these will never reach my pcs performance.so you guys loose?

Ndio maana JF huwa naiona kama shule,
link hizo bab,

http://cgi.ebay.com/The-all-new-17-...2QQcmdZViewItemQQssPageNameZRSS:B:SRCH:US:102

http://www.apple.com/macbookpro/specs.html

http://www.designtalkboard.com/design-hardware/macbookpro_ram.php
 
Hicho cha mtoto, m-PM juaKali akuonyeshe madude. Jamaa anatisha niliingia maskani kwake ana dude jipyaaaa. Alienware. Nafikiri process yake ina uwezo kununua system yako mzima! "Intel Core i7 975 Extreme 3.6 GHz) na video card HD 5870 ATI Eyefinity. RAM 24GB.

hapa hata mimi nimenyoosha mikono, :confused: kumbe bongo kuna vitu
 
Sasa kila mtu anakuja na yake hapa sasa mimi natumia Super Computer ambazo nilitoka nazo Nasa America

waskutishe mkuu. computer unanunua kutokana na mahitaji yako..... kama wewe unataka gari ya kuendea kazini asubh utanunua scania 20tn la kazi gani? hao watu utaona wanahitaji mashine fasta za milioni nne kwa sababu ya kazi zao-graphic designing n.k siyo unanunua komputer ya kuchapa barua tu............! alimradi fun!
 
Ndio maana JF huwa naiona kama shule,
link hizo bab,

http://cgi.ebay.com/The-all-new-17-...2QQcmdZViewItemQQssPageNameZRSS:B:SRCH:US:102

http://www.apple.com/macbookpro/specs.html

Ahhh hiyo nimeangalia kwenye website ya apple yako wewe ina 2.53 ghz ahhah
And it has HDD mpaka 500gb tu that you didnt reach mineS!
http://www.designtalkboard.com/design-hardware/macbookpro_ram.php
we Computer yako yenye Laptop heheh sijawahi kuona chizi kama wewe huwezi kufananisha desktop na laptop ni za Officini tu!!! you ***!! laptop processor yako yenye dual core!! hehe ya 2006 halafu ni mobile processor sasa ambayo its very low in performance!! yangu its desktop and a QUAD core!!!!!!!!!! do you know what a quad core means you *****!!! emnenda kalale na latop yako huko sitaki ata kucompare na vilaptop kama hivyo vya kitoto!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom