Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

LightYagami

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,825
1,493
KENYAN Doctors per month
Top earner KSh582,954(Tsh 13,288,054)
Lowest-paid doctor (intern) earn KSh206,989(Tsh 4,718,178)
TANZANIAN Doctors per month
Highest paid doctor Tsh 2,900,114(Ksh 127,003)
Nimekosa ya lowest paid Tz Doctor. But nimeona mahali average ni Tsh1.48 million(Ksh 65,000)
Kwa kifupi intern Kenya analipwa zaidi ya medical director TZ
Anyway feel free to correct me
 
tz ni ldc, bajeti ya afyia ni shilingi ngapi madafu money? tuanzie hapo....
Huko ni mbali sana, hutanielewa nikianza kukueleza.

Tafuta bajet nzima ya tz na kenya, halafu chukua muda wako kuichambua. Kama mshahara wa daktari wa kenya ni mara tatu ya ule wa daktari wa tz, wingi wa bajet usikutishe,baso sijajua nurses, bado ununuzi wa madawa, bado wababe hawajaweka cha juu hapo.
 
Bajeti yenu ya KILIMO ni Mara mbili ya Tanzania, lakini tunawalisha sisi na watu wenu wanakufa kwa njaa. Bajeti yenu ya MAJI ni Mara tatu ya Tanzania lakini Nairobi haina MAJI, pesa yenu yote inaishia katika mifuko ya politicians. Failed state.

msijiliwaze bure, Kenya kuna ufisadi lakini bado mambo yanafanyika. ndio maana gap sasa ni $40billion.
katika vigezo vyovyote unaweza fikiria, Kenya imewapiga tatu bila. Hilo la kulisha Kenya halijawahi kutokea(ila tu kwa akili za wanalumumba) WaKenya wananunua chakula wakati wa upungufu Kenya. bila waKenya kununua mazao yenyu, mtaisha kwa ufukara.
 
Wewe ndio unajifariji sasa, hiyo gap ya $40bln tunawaombea iendelee kupanuka, ili one day muweze angalau kukopesheka, bcoz for now hali ni mbaya sana.
 
uelewa wa watz ni mdogo sana, ndio maana unaweza toa statement kama hizi. Hali ya Kenya hata ikiwa mbaya, bado ni bora kuliko tanzagiza yenye UDHAIFU
 
Back
Top Bottom