safariwafungo
Senior Member
- Apr 26, 2008
- 116
- 51
Ni dhahiri mvua zina nyesha na kwakuwa mwenyezi mungu katujalia aridhi yenye rutuba ktk ukanda huu wa EAC bila shaka yatupasa kutumia fursa hii kwa umakini sana, Je ni kwa namna gani tunaitumia hii karama kutoka kwa mwenyezi mungu au tunasubiri wakulima wakilima kidogo then tunawakataza wasiuze bidhaa zao kwenye shirikisho la Afrika Mashariki, ni dhahiri yatupasa kutafuta majibu ya je tunaitumieaje fursa ya kuwekeza ktk kilimo ili tunufaike ktk umoja huu wa EAC?